Amos 1:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nitaushushia moto mji wa Temani, na kuziteketeza kabisa ngome za Bosra.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitatuma moto juu ya Temani ambao utateketeza ngome za Bosra.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini nitapeleka moto juu ya Temani, nao utayateketeza majumba ya Bosra.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nitaushushia moto mji wa Temani, na kuziteketeza kabisa ngome za Bosra.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitatuma moto juu ya Temani ambao utateketeza maboma ya Bosra.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitatuma moto juu ya Temani ambao utateketeza ngome za Bosra.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini nitatuma moto juu ya Temani, nao utayateketeza majumba ya Bosra.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nitaushushia moto mji wa Temani, na kuziteketeza kabisa ngome za Bosra.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitatupa moto mle Temani, uyale majumba ya Bosira.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini nitapeleka moto juu ya Temani, nao utayateketeza majumba ya Bosra.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nitashusha moto juu ya muji wa Temani, na kuziteketeza kabisa nyumba nzuri za Bosira.