Amos 1:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme wao na maofisa wake, wote watakwenda kukaa uhamishoni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme wake ataenda uhamishoni, yeye pamoja na maafisa wake,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mfalme wao atakwenda utumwani, yeye na wakuu wake wote pamoja, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme wao na maofisa wake, wote watakwenda kukaa uhamishoni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme wake atakwenda uhamishoni, yeye pamoja na maafisa wake,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme wake atakwenda uhamishoni, yeye pamoja na maafisa wake,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mfalme wao atakwenda utumwani, yeye na wakuu wake wote pamoja, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme wao na maofisa wake, wote watakwenda kukaa uhamishoni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mfalme wao atakwenda kuhamishwa, kwa kuwa atatekwa yeye na wakuu wake. Bwana ameyasema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mfalme wao atakwenda utumwani, yeye na wakuu wake wote pamoja, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme wao na wakubwa wake, wote watakwenda kukaa katika uhamisho. –Ni Yawe anayesema hivyo.