Amos 2:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliwatoeni kutoka nchi ya Misri, nikawaongoza kupitia jangwani miaka arubaini, mpaka mkaichukua nchi ya Waamori kuwa yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Niliwapandisha toka Misri, na nikawaongoza miaka arobaini jangwani niwape nchi ya Waamori.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pia naliwapandisha ninyi kutoka nchi ya Misri, nikawaongoza muda wa miaka arobaini jangwani, ili mpate kuimiliki nchi ya Mwamori.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliwatoeni kutoka nchi ya Misri, nikawaongoza kupitia jangwani miaka arubaini, mpaka mkaichukua nchi ya Waamori kuwa yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nilikupandisha toka Misri, na nikawaongoza miaka arobaini jangwani niwape nchi ya Waamori.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Niliwapandisha toka Misri, na nikawaongoza miaka arobaini jangwani niwape nchi ya Waamori.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pia niliwapandisha ninyi kutoka nchi ya Misri, nikawaongoza muda wa miaka arobaini jangwani, ili mpate kuimiliki nchi ya Mwamori.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliwatoeni kutoka nchi ya Misri, nikawaongoza kupitia jangwani miaka arubaini, mpaka mkaichukua nchi ya Waamori kuwa yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami ndimi niliyewatoa katika nchi ya Misri na kuwaleta huku, nikawaongoza miaka arobaini nyikani, nikawapa nchi ya Waamori, iwe nchi yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pia naliwapandisha ninyi kutoka nchi ya Misri, nikawaongoza muda wa miaka arobaini jangwani, ili mpate kuimiliki nchi ya Mwamori.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliwatoa ninyi kutoka inchi ya Misri, nikawaongoza kupitia katika jangwa miaka makumi ine, mpaka mukaitwaa inchi ya Waamori kuwa yenu.