Amos 2:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nyinyi mliwafanya wanadhiri wanywe divai, na kuwaamuru manabii wasitoe unabii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo na kuwaamuru manabii wasitoe unabii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mliwapa Wanadhiri mvinyo wanywe; mkawaamuru manabii, mkisema, Msifanye unabii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nyinyi mliwafanya wanadhiri wanywe divai, na kuwaamuru manabii wasitoe unabii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo na kuwaamuru manabii wasitoe unabii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo na kuwaamuru manabii wasitoe unabii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mliwapa Wanadhiri mvinyo wanywe; mkawaamuru manabii, mkisema, Msifanye unabii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nyinyi mliwafanya wanadhiri wanywe divai, na kuwaamuru manabii wasitoe unabii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao waliojieua mliwanywesha mvinyo, nao wafumbuaji mkawaagiza kwamba: Msifumbue!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mliwapa Wanadhiri mvinyo wanywe; mkawaamuru manabii, mkisema, Msifanye unabii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi muliwakunywesha wanaziri divai, na kuwaamuru manabii wasitoe unabii.