Amos 2:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata wapiga mbio hodari hawataweza kutoroka; wenye nguvu wataishiwa nguvu zao, na askari watashindwa kuyaokoa maisha yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkimbiaji hodari hatanusurika, wenye nguvu wataishiwa nguvu zao, na shujaa hataweza kuokoa maisha yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye apigaye mbio atapotewa na kimbilio; Wala aliye hodari hataongeza nguvu zake; Wala shujaa hatajiokoa nafsi yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata wapiga mbio hodari hawataweza kutoroka; wenye nguvu wataishiwa nguvu zao, na askari watashindwa kuyaokoa maisha yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkimbiaji hodari hatanusurika, wenye nguvu wataishiwa nguvu zao na shujaa hataweza kuokoa maisha yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkimbiaji hodari hatanusurika, wenye nguvu wataishiwa nguvu zao, na shujaa hataweza kuokoa maisha yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye apigaye mbio atapotewa na kimbilio; Wala aliye hodari hataongeza nguvu zake; Wala shujaa hatajiokoa nafsi yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata wapiga mbio hodari hawataweza kutoroka; wenye nguvu wataishiwa nguvu zao, na askari watashindwa kuyaokoa maisha yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mwenye miguu izoeayo mbio atakaposhindwa na kukimbia, naye mwenye nguvu hataweza kutumia hizo nguvu zake kuu, wala fundi wa vita hataiponya roho yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye apigaye mbio atapotewa na kimbilio; Wala aliye hodari hataongeza nguvu zake; Wala shujaa hatajiokoa nafsi yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata wale wenye kuwa hodari kwa kukimbia mbio hawataweza kutoroka; wenye nguvu wataishiwa nguvu zao, na waaskari watashindwa kuyaokoa maisha yao.