Amos 2:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo, hata askari hodari watatimua mbio bila chochote. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata askari walio mashujaa sana siku hiyo watakimbia uchi,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye mwenye moyo mkuu miongoni mwa mashujaa Atakimbia uchi siku ile, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo, hata askari hodari watatimua mbio bila chochote. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata askari walio mashujaa sana siku hiyo watakimbia uchi,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata askari walio mashujaa sana siku hiyo watakimbia uchi,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mwenye moyo mkuu miongoni mwa mashujaa Atakimbia uchi siku ile, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo, hata askari hodari watatimua mbio bila chochote. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye aushupazaye moyo wake kwa mafundi wa vita siku hiyo atakimbia akiwa uchi; ndivyo, asemavyo Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye mwenye moyo mkuu miongoni mwa mashujaa Atakimbia uchi siku ile, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyo, hata waaskari hodari sana watakimbia mbio bila chochote. –Ni ujumbe wa Yawe.