Amos 2:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Isitoshe, nitamuua mtawala wa Moabu, pamoja na viongozi wote wa nchi hiyo. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitamwangamiza mtawala wake na kuwaua maafisa wake wote pamoja naye,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitamkatilia mbali mwamuzi atoke kati yake, nami nitawaua wakuu wake pamoja naye, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Isitoshe, nitamuua mtawala wa Moabu, pamoja na viongozi wote wa nchi hiyo. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitamwangamiza mtawala wake na kuwaua maafisa wake wote pamoja naye,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitamwangamiza mtawala wake na kuwaua maafisa wake wote pamoja naye,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitamkatilia mbali mwamuzi atoke kati yake, nami nitawaua wakuu wake pamoja naye, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Isitoshe, nitamuua mtawala wa Moabu, pamoja na viongozi wote wa nchi hiyo. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mwamuzi nitamng'oa katikati yao, nao wakuu wao wote nitawaua pamoja nao. Bwana ameyasema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitamkatilia mbali mwamuzi atoke kati yake, nami nitawaua wakuu wake pamoja naye, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitamwua mutawala wa Moabu, pamoja na waongozi wote wa inchi hiyo. –Ni Yawe anayesema hivyo.