Amos 2:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nitaishushia moto nchi ya Yuda, na kuziteketeza kabisa ngome za Yerusalemu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitatuma moto juu ya Yuda ambao utateketeza ngome za Yerusalemu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini nitapeleka moto juu ya Yuda, nao utayateketeza majumba ya Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nitaishushia moto nchi ya Yuda, na kuziteketeza kabisa ngome za Yerusalemu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitatuma moto juu ya Yuda ambao utateketeza ngome za Yerusalemu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitatuma moto juu ya Yuda ambao utateketeza ngome za Yerusalemu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini nitatuma moto juu ya Yuda, nao utayateketeza majumba ya Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nitaishushia moto nchi ya Yuda, na kuziteketeza kabisa ngome za Yerusalemu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitatupa moto kwao Yuda, uyale majumba ya Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini nitapeleka moto juu ya Yuda, nao utayateketeza majumba ya Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, nitashusha moto juu ya inchi ya Yuda, na kuziteketeza kabisa nyumba nzuri za Yerusalema.