Amos 3:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi Waisraeli, sikilizeni neno Mwenyezi-Mungu alilosema dhidi yenu, enyi taifa zima alilolitoa nchini Misri:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikilizeni neno hili alilosema Mwenyezi Mungu dhidi yenu, enyi watu wa Israeli, dhidi ya jamaa nzima niliowapandisha toka Misri:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lisikieni neno hili alilolisema Bwana juu yenu, enyi wana wa Israeli, juu ya jamaa yote niliowapandisha kutoka nchi ya Misri, nikisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi Waisraeli, sikilizeni neno Mwenyezi-Mungu alilosema dhidi yenu, enyi taifa zima alilolitoa nchini Misri:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikilizeni neno hili BWANA alilosema dhidi yenu, Enyi watu wa Israeli, dhidi ya jamaa nzima niliowapandisha toka Misri:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikilizeni neno hili alilosema bwana dhidi yenu, enyi watu wa Israeli, dhidi ya jamaa nzima niliowapandisha toka Misri:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lisikieni neno hili alilolisema BWANA juu yenu, enyi wana wa Israeli, juu ya jamaa yote niliowapandisha kutoka nchi ya Misri, nikisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi Waisraeli, sikilizeni neno Mwenyezi-Mungu alilosema dhidi yenu, enyi taifa zima alilolitoa nchini Misri:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lisikieni neno hili, Bwana alilolisema kwa ajili yenu, ninyi wana wa Isiraeli, kwa ajili ya huu ukoo wote, nilioutoa katika nchi ya Misri na kuuleta huku: Amesema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lisikieni neno hili alilolisema BWANA juu yenu, enyi wana wa Israeli, juu ya jamaa yote niliowapandisha kutoka nchi ya Misri, nikisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi Waisraeli, musikilize neno Yawe alilosema juu yenu, enyi taifa zima alilolitoa katika inchi ya Misri: