Amos 3:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bwana Mungu wa majeshi asema hivi: “Sikilizeni, mkawaonye wazawa wa Yakobo:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sikia hili na ushuhudie dhidi ya nyumba ya Yakobo,” asema Bwana, yeye Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikieni, mkashuhudu juu ya nyumba ya Yakobo, asema Bwana, MUNGU wa majeshi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bwana Mungu wa majeshi asema hivi: “Sikilizeni, mkawaonye wazawa wa Yakobo:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sikia hili na ushuhudie dhidi ya nyumba ya Yakobo,” asema Bwana, BWANA Mungu Mwenye Nguvu Zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sikia hili na ushuhudie dhidi ya nyumba ya Yakobo,” asema Bwana, bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikieni, mkashuhudu juu ya nyumba ya Yakobo, asema Bwana, MUNGU wa majeshi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bwana Mungu wa majeshi asema hivi: “Sikilizeni, mkawaonye wazawa wa Yakobo:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yasikieni, myashuhudie nyumbani mwa Yakobo! ndivyo, asemavyo Bwana Mungu aliye Mungu Mwenye vikosi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikieni, mkashuhudu juu ya nyumba ya Yakobo, asema Bwana, MUNGU wa majeshi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikilize, muwaonye wazao wa Yakobo. –Ni ujumbe wa Bwana wetu Yawe, Mungu wa majeshi.–