Amos 3:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kati ya mataifa yote ulimwenguni, ni nyinyi tu niliowachagua. Kwa hiyo nitawaadhibu nyinyi, kwa sababu ya uovu wenu wote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ni ninyi tu niliowachagua kati ya jamaa zote za dunia; kwa hiyo nitawaadhibu kwa ajili ya dhambi zenu zote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni ninyi tu niliowajua katika jamaa zote zilizo duniani; kwa sababu hiyo nitawapatiliza ninyi maovu yenu yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kati ya mataifa yote ulimwenguni, ni nyinyi tu niliowachagua. Kwa hiyo nitawaadhibu nyinyi, kwa sababu ya uovu wenu wote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ni ninyi tu niliowachagua kati ya jamaa zote za dunia, kwa hiyo nitawaadhibu kwa ajili ya dhambi zenu zote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ni ninyi tu niliowachagua kati ya jamaa zote za dunia; kwa hiyo nitawaadhibu kwa ajili ya dhambi zenu zote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni ninyi tu niliowajua katika jamaa zote zilizo duniani; kwa sababu hiyo nitawapatiliza ninyi maovu yenu yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kati ya mataifa yote ulimwenguni, ni nyinyi tu niliowachagua. Kwa hiyo nitawaadhibu nyinyi, kwa sababu ya uovu wenu wote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niliwajua ninyi tu katika koo zote zilizoko nchini, kwa hiyo nitawapatilizia ninyi manza zote, mlizozikora.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni ninyi tu niliowajua katika jamaa zote zilizo duniani; kwa sababu hiyo nitawapatiliza ninyi maovu yenu yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kati ya mataifa yote katika ulimwengu, ni ninyi tu niliowachagua. Kwa hiyo nitawaazibu ninyi, kwa sababu ya uovu wenu wote.