Amos 3:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, simba hunguruma porini kama hajapata mawindo? Je, mwanasimba hunguruma pangoni mwake kama hajakamata kitu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, simba hunguruma katika kichaka wakati hana mawindo? Aweza kuvuma katika pango wakati ambao hajakamata chochote?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Simba atanguruma mwituni, asipokuwa na mawindo? Mwana-simba atalia pangoni mwake, ikiwa hakupata kitu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, simba hunguruma porini kama hajapata mawindo? Je, mwanasimba hunguruma pangoni mwake kama hajakamata kitu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, simba hunguruma katika kichaka wakati hana mawindo? Aweza kuvuma katika pango wakati ambao hajakamata cho chote?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, simba hunguruma katika kichaka wakati hana mawindo? Aweza kuvuma katika pango wakati ambao hajakamata chochote?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Simba atanguruma mwituni, asipokuwa na mawindo? Mwanasimba atalia pangoni mwake, ikiwa hakupata kitu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, simba hunguruma porini kama hajapata mawindo? Je, mwanasimba hunguruma pangoni mwake kama hajakamata kitu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Simba ananguruma mwituni, asipokuwa amepata windo? Je? Mwana wa simba analia pangoni mwake, asipokuwa amekamata?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Simba atanguruma mwituni, asipokuwa na mawindo? Mwana-simba atalia pangoni mwake, ikiwa hakupata kitu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Simba ananguruma katika pori kama hajapata nyama? Simba mukali ananguruma katika pango lake kama hajakamata kitu?