Amos 3:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, mtego bila chambo utamnasa ndege? Je, mtego hufyatuka bila kuguswa na kitu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, ndege aweza kuanguka kwenye mtego ulio ardhini ambapo hajategewa chambo? Je, mtego unaweza kufyatuka toka ardhini wakati hakuna chochote cha kunasa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Ndege ataanguka mtegoni juu ya nchi, mahali asipotegewa tanzi? Mtego utafyatuka juu ya nchi, bila kunasa kitu cho chote?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, mtego bila chambo utamnasa ndege? Je, mtego hufyatuka bila kuguswa na kitu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, ndege aweza kuanguka kwenye mtego ulio ardhini ambapo hajategewa chambo? Je, mtego unaweza kufyatuka toka ardhini wakati ambapo hakuna cho chote cha kunasa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, ndege aweza kuanguka kwenye mtego ulio ardhini ambapo hajategewa chambo? Je, mtego unaweza kufyatuka toka ardhini wakati ambapo hakuna chochote cha kunasa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Ndege ataanguka mtegoni juu ya nchi, mahali asipotegewa tanzi? Mtego utafyatuka juu ya nchi, bila kunasa kitu chochote?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, mtego bila chambo utamnasa ndege? Je, mtego hufyatuka bila kuguswa na kitu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Au ndege anawezaje kuanguka tanzini chini, isipokuwa mtu amelitega? Au tanzi linafyatuka na kuruka juu, lisipokuwa limekamata?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Ndege ataanguka mtegoni juu ya nchi, mahali asipotegewa tanzi? Mtego utafyatuka juu ya nchi, bila kunasa kitu cho chote?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutego bila chambo utamunasa ndege? Mutego unaweza kufyatuka bila kuguswa na kitu?