Amos 3:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakika, Bwana Mwenyezi-Mungu hafanyi kitu bila kuwafunulia watumishi wake manabii nia yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakika Bwana Mungu Mwenyezi hatafanya neno lolote bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lo lote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakika, Bwana Mwenyezi-Mungu hafanyi kitu bila kuwafunulia watumishi wake manabii nia yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakika BWANA Mwenyezi hatafanya neno lo lote bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakika bwana Mwenyezi hatafanya neno lolote bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lolote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakika, Bwana Mwenyezi-Mungu hafanyi kitu bila kuwafunulia watumishi wake manabii nia yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli Bwana Mungu hafanyi neno, asipokuwa amewafunulia njama yake watumishi wake wafumbuaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lo lote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hakika, Bwana wetu Yawe hafanyi kitu bila kuwafunulia watumishi wake manabii nia yake.