Amos 3:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Simba akinguruma, ni nani asiyeogopa? Bwana Mwenyezi-Mungu akinena, ni nani atakataa kuutangaza ujumbe wake?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Simba amenguruma: je, ni nani ambaye hataogopa? Bwana Mungu Mwenyezi ametamka: je, ni nani awezaye kukosa kutoa unabii?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Simba amekwisha kunguruma, ni nani asiyeogopa? Bwana MUNGU amenena, ni nani awezaye neno ila kutabiri?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Simba akinguruma, ni nani asiyeogopa? Bwana Mwenyezi-Mungu akinena, ni nani atakataa kuutangaza ujumbe wake?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Simba amenguruma: je, ni nani ambaye hataogopa? BWANA Mwenyezi ametamka: je, ni nani awezaye kunyamaza ila kutoa unabii?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Simba amenguruma: je, ni nani ambaye hataogopa? bwana Mwenyezi ametamka: je, ni nani awezaye kukosa kutoa unabii?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Simba amekwisha kunguruma, ni nani asiyeogopa? Bwana MUNGU amenena, ni nani awezaye neno ila kutabiri?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Simba akinguruma, ni nani asiyeogopa? Bwana Mwenyezi-Mungu akinena, ni nani atakataa kuutangaza ujumbe wake?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Simba akinguruma, yuko nani asiyeogopa? Bwana Mungu akisema neno, yuko nani asiyetaka kulifumbua?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Simba amekwisha kunguruma, ni nani asiyeogopa? Bwana MUNGU amenena, ni nani awezaye neno ila kutabiri?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Simba akinguruma, ni nani asiyeogopa? Bwana wetu Yawe akisema, ni nani atakataa kuutangaza ujumbe wake?