Amos 5:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, kutakuwa na wakati mbaya ambao hata mwenye busara atanyamaza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo mtu mwenye busara hunyamaza nyakati kama hizo, kwa kuwa nyakati ni mbaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa ajili ya hayo mwenye busara atanyamaza kimya wakati kama huo; kwa kuwa ni wakati mbaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, kutakuwa na wakati mbaya ambao hata mwenye busara atanyamaza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo mtu mwenye busara hunyamaza kimya nyakati kama hizo, kwa kuwa nyakati ni mbaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo mtu mwenye busara hunyamaza kimya nyakati kama hizo, kwa kuwa nyakati ni mbaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa ajili ya hayo mwenye busara atanyamaza kimya wakati kama huo; kwa kuwa ni wakati mbaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, kutakuwa na wakati mbaya ambao hata mwenye busara atanyamaza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo aliye mwenye akili hunyamaza siku hizi, kwani siku hizi ni mbaya kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa ajili ya hayo mwenye busara atanyamaza kimya wakati kama huo; kwa kuwa ni wakati mbaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, kutakuwa wakati mubaya ambao hata mwenye hekima atanyamaza.