Amos 5:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tafuteni kutenda mema na si mabaya, ili nyinyi mpate kuishi naye Mwenyezi-Mungu wa majeshi awe pamoja nanyi kama mnavyosema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tafuteni mema, wala si mabaya, ili mpate kuishi. Ndipo Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni atakuwa pamoja nanyi, kama msemavyo yupo nanyi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tafuteni mema, wala si mabaya, mpate kuishi; hivyo Bwana, Mungu wa majeshi, atakuwa pamoja nanyi, kama msemavyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tafuteni kutenda mema na si mabaya, ili nyinyi mpate kuishi naye Mwenyezi-Mungu wa majeshi awe pamoja nanyi kama mnavyosema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tafuteni mema, wala si mabaya, ili mpate kuishi. Ndipo BWANA Mungu Mwenye Nguvu Zote atakuwa pamoja nanyi, kama msemavyo yupo nanyi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tafuteni mema, wala si mabaya, ili mpate kuishi. Ndipo bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote atakuwa pamoja nanyi, kama msemavyo yupo nanyi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tafuteni mema, wala si mabaya, mpate kuishi; hivyo BWANA, Mungu wa majeshi, atakuwa pamoja nanyi, kama msemavyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tafuteni kutenda mema na si mabaya, ili nyinyi mpate kuishi naye Mwenyezi-Mungu wa majeshi awe pamoja nanyi kama mnavyosema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yatafuteni yaliyo mema mkiyaacha yaliyo mabaya, mpate kupona! Ndipo, Bwana Mungu Mwenye vikosi atakapokuwa nanyi, kama mlivyosema wenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tafuteni mema, wala si mabaya, mpate kuishi; hivyo BWANA, Mungu wa majeshi, atakuwa pamoja nanyi, kama msemavyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutafute kutenda mazuri wala si mabaya, kusudi ninyi mupate kuishi naye Yawe wa majeshi atakuwa pamoja nanyi kama vile munavyosema.