Amos 5:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chukieni uovu, pendeni wema, na kudumisha haki mahakamani. Yamkini Mwenyezi-Mungu wa majeshi atawafadhili watu wa Yosefu waliobaki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yachukieni maovu, yapendeni mema; dumisheni haki mahakamani. Yamkini Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, atawahurumia mabaki ya Yusufu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yachukieni mabaya; yapendeni mema; mkaithibitishe haki langoni; yamkini kwamba Bwana, Mungu wa majeshi, atawafanyia fadhili mabaki ya Yusufu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chukieni uovu, pendeni wema, na kudumisha haki mahakamani. Yamkini Mwenyezi-Mungu wa majeshi atawafadhili watu wa Yosefu waliobaki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yachukieni maovu, yapendeni mema; dumisheni haki mahakamani. Yamkini BWANA Mungu Mwenye Nguvu Zote atawahurumia mabaki ya Yosefu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yachukieni maovu, yapendeni mema; dumisheni haki mahakamani. Yamkini bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote atawahurumia mabaki ya Yusufu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yachukieni mabaya; yapendeni mema; mkaithibitishe haki langoni; yamkini kwamba BWANA, Mungu wa majeshi, atawafanyia fadhili mabaki ya Yusufu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chukieni uovu, pendeni wema, na kudumisha haki mahakamani. Yamkini Mwenyezi-Mungu wa majeshi atawafadhili watu wa Yosefu waliobaki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yachukieni yaliyo mabaya! Yapendeni yaliyo mema! Simamisheni langoni mashauri yaliyo sawa! Ndipo, Bwana Mungu Mwenye vikosi atakapowahurumia walio masao yake Yosefu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yachukieni mabaya; yapendeni mema; mkaithibitishe haki langoni; yamkini kwamba BWANA, Mungu wa majeshi, atawafanyia fadhili mabaki ya Yusufu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muchukie mabaya, mupende mazuri, na kudumisha sheria ya Mungu katika tribinali. Labda Yawe wa majeshi atawarehemu watu wa kabila la Yosefu waliobaki.