Amos 5:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ole wenu nyinyi mnaoingojea kwa hamu siku ya Mwenyezi-Mungu! Kwa nini mnaitaka sana siku hiyo? Siku hiyo, itakuwa siku ya giza na sio ya mwanga!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ole wenu ninyi mnaoitamani siku ya Mwenyezi Mungu! Kwa nini mnaitamani siku ya Mwenyezi Mungu? Siku hiyo itakuwa giza, si nuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ole wenu! Ninyi mnaoitamani siku ya Bwana; kwani kuitamani siku ya Bwana? Ni giza, wala si nuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ole wenu nyinyi mnaoingojea kwa hamu siku ya Mwenyezi-Mungu! Kwa nini mnaitaka sana siku hiyo? Siku hiyo, itakuwa siku ya giza na sio ya mwanga!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ole wenu ninyi mnaoitamani siku ya BWANA! Kwa nini mnaitamani siku ya BWANA? Siku hiyo itakuwa giza, si nuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ole wenu ninyi mnaoitamani siku ya bwana! Kwa nini mnaitamani siku ya bwana? Siku hiyo itakuwa giza, si nuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ole wenu! Ninyi mnaoitamani siku ya BWANA; kwa nini kuitamani siku ya BWANA? Ni giza, wala si nuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ole wenu nyinyi mnaoingojea kwa hamu siku ya Mwenyezi-Mungu! Kwa nini mnaitaka sana siku hiyo? Siku hiyo, itakuwa siku ya giza na sio ya mwanga!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yatawapata wanaoitamani siku ya Bwana! Ninyi siku ya Bwana itawafaliaje? Ndiyo giza, siyo mwanga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ole wenu! Ninyi mnaoitamani siku ya BWANA; kwani kuitamani siku ya BWANA? Ni giza, wala si nuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ole kwenu ninyi munaoingojea kwa hamu siku ya Yawe! Kwa nini munaitaka sana siku hiyo? Siku hiyo, itakuwa siku ya giza na si ya mwangaza!