Amos 5:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umeanguka na hutainuka tena ewe binti Israeli! Umeachwa pweke nchini mwako, hamna hata mtu wa kukuinua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Bikira Israeli ameanguka, kamwe hatainuka tena, ameachwa pweke katika nchi yake, hakuna yeyote wa kumwinua.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bikira wa Israeli ameanguka; hatainuka tena; Ameangushwa katika nchi yake; hakuna mtu wa kumwinua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umeanguka na hutainuka tena ewe binti Israeli! Umeachwa pweke nchini mwako, hamna hata mtu wa kukuinua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Bikira Israeli ameanguka, kamwe hatainuka tena, ameachwa pweke katika nchi yake, hakuna ye yote wa kumwinua.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Bikira Israeli ameanguka, kamwe hatainuka tena, ameachwa pweke katika nchi yake, hakuna yeyote wa kumwinua.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bikira wa Israeli ameanguka; hatainuka tena; Ameangushwa katika nchi yake; hakuna mtu wa kumwinua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umeanguka na hutainuka tena ewe binti Israeli! Umeachwa pweke nchini mwako, hamna hata mtu wa kukuinua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ameanguka, hatainuka tena mwanamwali wa Isiraeli, amebwagwa, alale juu ya nchi yake, hakuna atakayemwinua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bikira wa Israeli ameanguka; hatainuka tena; Ameangushwa katika nchi yake; hakuna mtu wa kumwinua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umeanguka na hautainuka tena ewe binti Israeli! Umeachwa ukiwa katika inchi yako, hakuna hata mutu wa kukuinua.