Amos 5:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku ya Mwenyezi-Mungu itakuwa giza, na sio mwanga; itakuwa huzuni bila uangavu wowote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, siku ya Mwenyezi Mungu haitakuwa giza, na si nuru: giza nene, bila mwali wowote?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Siku ya Bwana haitakuwa giza, wala si nuru? Naam, yenye giza sana, wala haina mwanga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku ya Mwenyezi-Mungu itakuwa giza, na sio mwanga; itakuwa huzuni bila uangavu wowote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, siku ya BWANA haitakuwa giza, na si nuru: giza nene, bila mwonzi wa mwanga?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, siku ya bwana haitakuwa giza, na si nuru: giza nene, bila mwonzi wa mwanga?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Siku ya BWANA haitakuwa giza, wala si nuru? Naam, yenye giza sana, wala haina mwanga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku ya Mwenyezi-Mungu itakuwa giza, na sio mwanga; itakuwa huzuni bila uangavu wowote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Siku ya Bwana siyo giza? Ndio, haina mwanga; ni yenye weusi, hauangazi kabisa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Siku ya BWANA haitakuwa giza, wala si nuru? Naam, yenye giza sana, wala haina mwanga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya Yawe itakuwa giza, na si mwangaza; itakuwa giza kubwa bila mwangaza wowote.