Amos 5:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Enyi Waisraeli, wakati ule mlipokuwa kule jangwani kwa miaka arubaini, je, mliniletea tambiko na sadaka hata mara moja?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Je, mliniletea dhabihu na sadaka kwa miaka arobaini kule jangwani, ee nyumba ya Israeli?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Mliniletea dhabihu na sadaka jangwani muda wa miaka arobaini, enyi nyumba ya Israeli?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Enyi Waisraeli, wakati ule mlipokuwa kule jangwani kwa miaka arubaini, je, mliniletea tambiko na sadaka hata mara moja?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Je, mliniletea dhabihu na sadaka mlipokuwa jangwani miaka arobaini, Ee nyumba ya Israeli?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Je, mliniletea dhabihu na sadaka kwa miaka arobaini kule jangwani, ee nyumba ya Israeli?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Mliniletea dhabihu na sadaka jangwani muda wa miaka arobaini, enyi nyumba ya Israeli?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Enyi Waisraeli, wakati ule mlipokuwa kule jangwani kwa miaka arubaini, je, mliniletea tambiko na sadaka hata mara moja?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Ng'ombe na vipaji, mlivyovitoa nyikani miaka arobaini, vilikuwa vya kunitambikia mimi, ninyi mlio mlango wa Isiraeli?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Mliniletea dhabihu na sadaka jangwani muda wa miaka arobaini, enyi nyumba ya Israeli?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi Waisraeli, wakati ule mulipokuwa kule katika jangwa kwa miaka makumi ine, muliniletea matoleo na sadaka hata mara moja?