Amos 5:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo nitawapeleka uhamishoni, mbali kuliko Damasko! Hayo amesema Mwenyezi-Mungu, ambaye jina lake ni Mungu wa Majeshi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu hiyo nitawapeleka uhamishoni mbali kupita Dameski,” asema Mwenyezi Mungu, ambaye jina lake ni Mungu wa majeshi ya mbinguni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu hiyo nitawahamisha, hali ya kufungwa, mwende mbali kupita Dameski, asema Bwana, ambaye jina lake ni Mungu wa majeshi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo nitawapeleka uhamishoni, mbali kuliko Damasko!” Hayo amesema Mwenyezi-Mungu, ambaye jina lake ni Mungu wa Majeshi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu hiyo nitawapelekeni uhamishoni mbali kupita Dameski,” asema BWANA, ambaye jina lake ni Mungu Mwenye Nguvu Zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu hiyo nitawapeleka uhamishoni mbali kupita Dameski,” asema bwana, ambaye jina lake ni Mungu Mwenye Nguvu Zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu hiyo nitawapeleka uhamishoni, mwende mbali kupita Dameski, asema BWANA, ambaye jina lake ni Mungu wa majeshi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo nitawapeleka uhamishoni, mbali kuliko Damasko! Hayo amesema Mwenyezi-Mungu, ambaye jina lake ni Mungu wa Majeshi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, kwa hiyo nitawahimisha, mwende mbali kuliko Damasko. Ndivyo, Bwana anavyosema; Mungu Mwenye vikosi ni Jina lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu hiyo nitawahamisha, hali ya kufungwa, mwende mbali kupita Dameski, asema BWANA, ambaye jina lake ni Mungu wa majeshi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo nitawapeleka katika uhamisho, mbali kuliko Damasiki! –Ni Yawe anayesema, ambaye jina lake ni Mungu wa majeshi.