Amos 5:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu awaambia hivi Waisraeli: “Nitafuteni mimi nanyi mtaishi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu kwa nyumba ya Israeli: “Nitafuteni mpate kuishi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Bwana awaambia hivi nyumba ya Israeli, Nitafuteni mimi, nanyi mtaishi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu awaambia hivi Waisraeli: “Nitafuteni mimi nanyi mtaishi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo BWANA asemalo kwa nyumba ya Israeli: “Nitafuteni mpate kuishi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo bwana asemalo kwa nyumba ya Israeli: “Nitafuteni mpate kuishi;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana BWANA awaambia hivi nyumba ya Israeli, Nitafuteni mimi, nanyi mtaishi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu awaambia hivi Waisraeli: “Nitafuteni mimi nanyi mtaishi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hivi ndivyo, Bwana anavyowaambia walio mlango wa Isiraeli: Nitafuteni! Ndipo, mtakapopona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana BWANA awaambia hivi nyumba ya Israeli, Nitafuteni mimi, nanyi mtaishi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anawaambia Waisraeli hivi: Munitafute mimi nanyi mutaishi!