Amos 5:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtafuteni Mwenyezi-Mungu, nanyi mtaishi! La sivyo, atawalipukia wazawa wa Yosefu kama moto; moto utawateketeza wakazi wa Betheli na hakuna mtu atakayeweza kuuzima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtafuteni Mwenyezi Mungu mpate kuishi, au atafagia nyumba ya Yusufu kama moto; utawateketeza, nayo Betheli haitakuwa na yeyote wa kuuzima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtafuteni Bwana, nanyi mtaishi; asije akawaka kama moto katika nyumba ya Yusufu, nao ukateketeza, asiwepo mtu awezaye kuuzima katika Betheli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtafuteni Mwenyezi-Mungu, nanyi mtaishi! La sivyo, atawalipukia wazawa wa Yosefu kama moto; moto utawateketeza wakazi wa Betheli na hakuna mtu atakayeweza kuuzima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtafuteni BWANA mpate kuishi, au atafagia nyumba ya Yosefu kama moto; utawateketeza, nayo Betheli haitakuwa na ye yote wa kuuzima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtafuteni bwana mpate kuishi, au atafagia nyumba ya Yusufu kama moto; utawateketeza, nayo Betheli haitakuwa na yeyote wa kuuzima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtafuteni BWANA, nanyi mtaishi; asije akawaka kama moto katika nyumba ya Yusufu, nao ukateketeza, asiwepo mtu awezaye kuuzima katika Betheli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtafuteni Mwenyezi-Mungu, nanyi mtaishi! La sivyo, atawalipukia wazawa wa Yosefu kama moto; moto utawateketeza wakazi wa Betheli na hakuna mtu atakayeweza kuuzima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtafuteni Bwana! Ndipo, mtakapopona. Asiujie mlango wa Yosefu kama moto utakaouteketeza, kwa kuwa Beteli hakuna atakayeweza kuuzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtafuteni BWANA, nanyi mtaishi; asije akawaka kama moto katika nyumba ya Yusufu, nao ukateketeza, asiwepo mtu awezaye kuuzima katika Betheli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutafute Yawe, nanyi mutaishi! Kama sivyo, atawatokea wazao wa Yosefu kama moto; moto utawateketeza wakaaji wa Beteli na hakuna mutu atakayeweza kuuzimisha.