Amos 5:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye ndiye anayewaangamiza wenye nguvu, na kuziharibu ngome zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yeye hufanya maangamizi kwenye ngome na kufanya mji uliozungushiwa ngome kuwa ukiwa),
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
yeye aletaye uharibifu wa ghafula juu yao walio hodari, hata uharibifu uipate ngome.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye ndiye anayewaangamiza wenye nguvu, na kuziharibu ngome zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
yeye hufanya maangamizo kwenye ngome na kufanya mji uliozungushiwa ngome kuwa ukiwa),
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yeye hufanya maangamizo kwenye ngome na kufanya mji uliozungushiwa ngome kuwa ukiwa),
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
yeye aletaye uharibifu wa ghafla juu ya wenye nguvu, hata kuiharibu ngome.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye ndiye anayewaangamiza wenye nguvu, na kuziharibu ngome zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ndiye anayewaletea wanguvu mwangamizo, uwatokee kama umeme, nayo miji yenye maboma ya nguvu iingiliwe na mwangamizo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
yeye aletaye uharibifu wa ghafula juu yao walio hodari, hata uharibifu uipate ngome.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye ndiye anayewaangamiza wenye nguvu, na kuziharibu kuta zao zenye nguvu.