Amos 6:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mnapenda kuimba ovyo na sauti ya vinubi na kubuni ala mpya za muziki mkimwiga mfalme Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi mnapiga vinubi kama Daudi, huku mkitunga nyimbo za vinanda mbalimbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ninyi mnaoimba nyimbo za upuzi pamoja na sauti ya vinanda, na kujifanyizia vinanda vya namna nyingi, kama vile Daudi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mnapenda kuimba ovyo na sauti ya vinubi na kubuni ala mpya za muziki mkimwiga mfalme Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi mnapiga vinubi kama Daudi huku mkitunga nyimbo za vinanda mbalimbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi mnapiga vinubi kama Daudi, huku mkitunga nyimbo za vinanda mbalimbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ninyi mnaoimba nyimbo za upuzi pamoja na sauti ya vinanda, na kujifanyia vinanda vya namna nyingi, kama vile Daudi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mnapenda kuimba ovyo na sauti ya vinubi na kubuni ala mpya za muziki mkimwiga mfalme Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hujipigia mapango, tena hujitungia vinanda vinginevyo kama Dawidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ninyi mnaoimba nyimbo za upuzi pamoja na sauti ya vinanda, na kujifanyizia vinanda vya namna nyingi, kama vile Daudi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi munapenda kuimba ovyo na sauti ya vinubi na kutunga ala mupya za muziki mukimwiga mufalme Daudi.