Amos 7:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo nikasema: “Ee Bwana Mwenyezi-Mungu, nakusihi uache kuadhibu! Wazawa wa Yakobo watawezaje kuishi? Wao ni wadogo mno!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo nikalia, “Bwana Mungu Mwenyezi, nakusihi, zuia! Je, Yakobo atawezaje kuendelea kuishi? Yeye ni mdogo sana!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo nikasema, Ee Bwana MUNGU, acha, nakusihi; Yakobo atasimamaje? Kwa maana ni mdogo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo nikasema: “Ee Bwana Mwenyezi-Mungu, nakusihi uache kuadhibu! Wazawa wa Yakobo watawezaje kuishi? Wao ni wadogo mno!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo nikalia, “BWANA Mwenyezi, nakusihi, zuia! Je, Yakobo atawezaje kuendelea kuishi? Yeye ni mdogo sana!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nikalia, “ bwana Mwenyezi, nakusihi, zuia! Je, Yakobo atawezaje kuendelea kuishi? Yeye ni mdogo sana!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo nikasema, Ee Bwana MUNGU, acha, nakusihi; Yakobo atasimamaje? Kwa maana ni mdogo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo nikasema: “Ee Bwana Mwenyezi-Mungu, nakusihi uache kuadhibu! Wazawa wa Yakobo watawezaje kuishi? Wao ni wadogo mno!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, niliposema: Bwana Mungu, acha hapo! Yakobo atawezaje kusimama? Kwani yeye ni mdogo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo nikasema, Ee Bwana MUNGU, acha, nakusihi; Yakobo atasimamaje? Kwa maana ni mdogo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu nikasema: Ee Bwana wetu Yawe, ninakusihi uache kuazibu! Wazao wa Yakobo wataweza kuishi namna gani? Wao ni wadogo sana!