Amos 7:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mwenyezi-Mungu akabadili nia yake, akasema: “Hili pia halitatukia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Mwenyezi Mungu akaghairi. Bwana Mungu Mwenyezi akasema, “Hili nalo halitatokea.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akaghairi katika jambo hili pia. Jambo hili halitakuwa, asema Bwana MUNGU.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mwenyezi-Mungu akabadili nia yake, akasema: “Hili pia halitatukia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo BWANA akaghairi. BWANA Mwenyezi akasema, “Hili nalo halitatokea.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo bwana akaghairi. bwana Mwenyezi akasema, “Hili nalo halitatokea.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akaghairi katika jambo hili pia. Jambo hili halitakuwa, asema Bwana MUNGU.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mwenyezi-Mungu akabadili nia yake, akasema: “Hili pia halitatukia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana alipoigeuza roho kwa ajili ya hayo, naye Bwana Mungu akasema: Haya nayo hayatakuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akaghairi katika jambo hili pia. Jambo hili halitakuwa, asema Bwana MUNGU.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yawe akabadilisha nia yake, akasema: Hili vilevile halitatukia.