Amos 8:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bwana Mwenyezi-Mungu alinijalia maono mengine: Niliona kikapu kilichojaa matunda ya kiangazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo alilonionesha Bwana Mungu Mwenyezi katika maono: kikapu cha matunda yaliyoiva.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya ndiyo aliyonionyesha Bwana MUNGU; tazama, kikapu cha matunda ya wakati wa hari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bwana Mwenyezi-Mungu alinijalia maono mengine: Niliona kikapu kilichojaa matunda ya kiangazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo alilonionyesha BWANA Mwenyezi katika maono: kikapu cha matunda yaliyoiva.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo alilonionyesha bwana Mwenyezi katika maono: kikapu cha matunda yaliyoiva.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya ndiyo aliyonionesha Bwana MUNGU; tazama, kikapu cha matunda ya wakati wa joto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bwana Mwenyezi-Mungu alinijalia maono mengine: Niliona kikapu kilichojaa matunda ya kiangazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili ndilo ono, Bwana Mungu alilonionyesha: Nimeona kikapu chenye matunda yaliyoiva. Akaniuliza:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya ndiyo aliyonionyesha Bwana MUNGU; tazama, kikapu cha matunda ya wakati wa hari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bwana wetu Yawe alinionyesha maono mengine: Niliona kikapu kilichojaa matunda yenye kuivya.