Amos 8:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu watatangatanga kutoka bahari hata bahari, kutoka upande wa kaskazini mpaka mashariki. Watakimbia huko na huko wakitafuta neno la Mwenyezi-Mungu, lakini hawatalipata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaume watayumbayumba kutoka bahari hadi bahari na kutangatanga kutoka kaskazini mpaka mashariki, wakitafuta neno la Mwenyezi Mungu, lakini hawatalipata.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watatanga-tanga toka bahari hata bahari; na toka upande wa kaskazi hata upande wa mashariki; watapiga mbio, wakienda huko na huko, kulitafuta neno la Bwana, wasilione.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu watatangatanga kutoka bahari hata bahari, kutoka upande wa kaskazini mpaka mashariki. Watakimbia huko na huko wakitafuta neno la Mwenyezi-Mungu, lakini hawatalipata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaume watayumbayumba kutoka bahari hadi bahari na kutangatanga kutoka kaskazini mpaka mashariki, wakitafuta neno la BWANA, lakini hawatalipata.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaume watayumbayumba kutoka bahari hadi bahari na kutangatanga kutoka kaskazini mpaka mashariki, wakitafuta neno la bwana, lakini hawatalipata.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watatangatanga toka bahari hata bahari; na toka upande wa kaskazi hata upande wa mashariki; watapiga mbio, wakienda huku na huko, kulitafuta neno la BWANA, wasilione.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu watatangatanga kutoka bahari hata bahari, kutoka upande wa kaskazini mpaka mashariki. Watakimbia huko na huko wakitafuta neno la Mwenyezi-Mungu, lakini hawatalipata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watakapotangatanga, watoke baharini, wafike kwenye bahari nyingine, tena watoke upande wa kaskazini, wafike upande wa maawioni kwa jua; watazunguka po pote kwa kulitafuta Neno la Bwana, lakini hawataliona.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watatanga-tanga toka bahari hata bahari; na toka upande wa kaskazi hata upande wa mashariki; watapiga mbio, wakienda huko na huko, kulitafuta neno la BWANA, wasilione.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu watatangatanga kutoka bahari hata bahari, kutoka upande wa kaskazini mpaka wa mashariki. Watakimbia huko na huko wakitafuta neno la Yawe, lakini hawatalipata.