Amos 8:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Siku hiyo, hata vijana wenye afya, wa kiume kwa wa kike, watazimia kwa kiu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Katika siku ile “wasichana wazuri na wavulana wenye nguvu watazimia kwa sababu ya kiu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku hiyo wanawali wazuri na wavulana watazimia kwa kiu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Siku hiyo, hata vijana wenye afya, wa kiume kwa wa kike, watazimia kwa kiu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Katika siku ile “wasichana wazuri na vijana wanaume wenye nguvu watazimia kwa sababu ya kiu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Katika siku ile “wasichana wazuri na vijana wanaume wenye nguvu watazimia kwa sababu ya kiu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku hiyo wanawali wazuri na wavulana watazimia kwa kiu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Siku hiyo, hata vijana wenye afya, wa kiume kwa wa kike, watazimia kwa kiu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo ndipo, watakapozimia kwa kiu wanawali wazuri pamoja na wavulana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku hiyo wanawali wazuri na wavulana watazimia kwa kiu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyo, wabinti wazuri na vijana wanaume watazimia kwa kiu.