Amos 8:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikilizeni enyi mnaowakandamiza wanyonge na kuwaletea maangamizi fukara wa nchi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lisikieni hili, ninyi ambao mnawagandamiza wahitaji, na kuwaonea maskini wa nchi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lisikieni hili, ninyi mnaopenda kuwameza wahitaji, na kuwakomesha maskini wa nchi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikilizeni enyi mnaowakandamiza wanyonge na kuwaletea maangamizi fukara wa nchi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lisikieni hili, ninyi ambao mnawagandamiza wahitaji na kuwaonea maskini wa nchi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lisikieni hili, ninyi ambao mnawagandamiza wahitaji, na kuwaonea maskini wa nchi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lisikieni hili, ninyi mnaopenda kuwameza wahitaji, na kuwakomesha maskini wa nchi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikilizeni enyi mnaowakandamiza wanyonge na kuwaletea maangamizi fukara wa nchi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lisikieni hili, ninyi mfokeao maskini, mkakanyaga wanyonge wa nchi
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lisikieni hili, ninyi mnaopenda kuwameza wahitaji, na kuwakomesha maskini wa nchi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikilize, enyi munaowagandamiza wakosefu na kuwaletea maangamizi wamasikini wa inchi.