Amos 8:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hata kuuza ngano hafifu kwa bei kubwa. Tutaweza kununua watu fukara kwa fedha, na wahitaji kwa jozi ya kandambili.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mkiwanunua maskini kwa fedha, na wahitaji kwa jozi ya viatu, na mkiuza hata takataka za ngano pamoja na ngano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tupate kuwanunua maskini kwa fedha, na wahitaji kwa jozi ya viatu; na kuziuza takataka za ngano.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hata kuuza ngano hafifu kwa bei kubwa. Tutaweza kununua watu fukara kwa fedha, na wahitaji kwa jozi ya kandambili.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mkiwanunua maskini kwa fedha na wahitaji kwa jozi ya viatu, na mkiuza hata takataka za ngano pamoja na ngano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mkiwanunua maskini kwa fedha, na wahitaji kwa jozi ya viatu, na mkiuza hata takataka za ngano pamoja na ngano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tupate kuwanunua maskini kwa fedha, na wahitaji kwa jozi ya viatu; na kuziuza takataka za ngano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hata kuuza ngano hafifu kwa bei kubwa. Tutaweza kununua watu fukara kwa fedha, na wahitaji kwa jozi ya kandambili.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, tutakaponunua wanyonge kwa fedha, wawe watumwa, nao maskini kwa viatu viwili, makumvi ya ngano nayo tutayauza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tupate kuwanunua maskini kwa fedha, na wahitaji kwa jozi ya viatu; na kuziuza takataka za ngano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tutawanunua wamasikini kwa feza na wakosefu kwa bei ya muguu mumoja wa mapapa. Nasi tutauzisha machenga ya ngano.