Amos 8:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu, fahari ya Yakobo, ameapa: “Hakika, sitayasahau matendo yao maovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ameapa kwake mwenyewe, aliye Fahari ya Yakobo: “Kamwe sitasahau chochote ambacho wamefanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ameapa kwa fahari ya Yakobo, Hakika sitazisahau kamwe kazi zao hata mojawapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu, fahari ya Yakobo, ameapa: “Hakika, sitayasahau matendo yao maovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ameapa kwa kiburi cha Yakobo: “Kamwe, sitasahau cho chote ambacho wamefanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ameapa kwake mwenyewe, aliye Kiburi cha Yakobo: “Kamwe sitasahau chochote ambacho wamefanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ameapa kwa fahari ya Yakobo, Hakika sitazisahau kamwe kazi zao hata mojawapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu, fahari ya Yakobo, ameapa: “Hakika, sitayasahau matendo yao maovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ameapa na kumtaja aliye mkuu wa Yakobo kwamba: Sitayasahau kale na kale matendo yao yote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ameapa kwa fahari ya Yakobo, Hakika sitazisahau kamwe kazi zao hata mojawapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe, utukufu wa Yakobo, ameapa: Hakika, sitayasahau matendo yao maovu.