Amos 9:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Siku yaja nitakapoisimika nyumba ya Daudi iliyoanguka; nitazitengeneza kuta zake, na kusimika upya magofu yake. Nitaijenga upya kama ilivyokuwa hapo zamani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Katika siku ile “Nitalisimamisha hema la Daudi lililoanguka. Nitakarabati mahali palipobomoka na kujenga upya magofu yake, na kuijenga kama ilivyokuwa awali,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku hiyo nitaiinua tena maskani ya Daudi iliyoanguka, na kuziba mahali palipobomoka; nami nitayainua magofu yake, na kuyajenga kama siku za kale;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Siku yaja nitakapoisimika nyumba ya Daudi iliyoanguka; nitazitengeneza kuta zake, na kusimika upya magofu yake. Nitaijenga upya kama ilivyokuwa hapo zamani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Katika siku ile nitaisimamisha hema ya Daudi iliyoanguka. Nitakarabati mahali palipobomoka na kujenga upya magofu yake, na kujenga kama ilivyokuwa awali,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Katika siku ile nitaisimamisha hema ya Daudi iliyoanguka. Nitakarabati mahali palipobomoka na kujenga upya magofu yake, na kuijenga kama ilivyokuwa awali,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku hiyo nitaiinua tena maskani ya Daudi iliyoanguka, na kuziba mahali palipobomoka; nami nitayainua magofu yake, na kuyajenga kama siku za kale;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Siku yaja nitakapoisimika nyumba ya Daudi iliyoanguka; nitazitengeneza kuta zake, na kusimika upya magofu yake. Nitaijenga upya kama ilivyokuwa hapo zamani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo ndipo, nitakapokisimamisha kibanda cha Dawidi kilichoanguka, na kuziziba nyufa zake na kuyasimamisha mabomoko yake, nikijenge, kiwe kama siku za kale,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku hiyo nitaiinua tena maskani ya Daudi iliyoanguka, na kuziba mahali palipobomoka; nami nitayainua magofu yake, na kuyajenga kama siku za kale;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku inakuja nitakapoisimika nyumba ya Daudi iliyoanguka; nitazitengeneza kuta zake, na kusimika upya mabomoko yake. Nitaijenga upya kama ilivyokuwa tangu zamani.