Amos 9:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao Waisraeli watamiliki mabaki ya Edomu na mataifa yote yaliyokuwa yangu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema, na nitafanya hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili wapate kuyamiliki mabaki ya Edomu, na mataifa yote yale yanayobeba Jina langu,” asema Mwenyezi Mungu ambaye atafanya mambo haya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wapate kuyamiliki mabaki ya Edomu, na mataifa yote yaitwayo kwa jina langu, asema Bwana, afanyaye hayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao Waisraeli watamiliki mabaki ya Edomu na mataifa yote yaliyokuwa yangu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema, na nitafanya hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili wapate kumiliki mabaki ya Edomu na mataifa yote yale yanayobeba Jina langu,” asema BWANA ambaye atafanya mambo haya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili wapate kuyamiliki mabaki ya Edomu, na mataifa yote yale yanayobeba Jina langu,” asema bwana ambaye atafanya mambo haya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wapate kuyamiliki mabaki ya Edomu, na mataifa yote yaitwayo kwa jina langu, asema BWANA, afanyaye hayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao Waisraeli watamiliki mabaki ya Edomu na mataifa yote yaliyokuwa yangu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema, na nitafanya hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wayatwae masao ya Edomu na wamizimu wote waliotangaziwa Jina langu; ndivyo, asemavyo Bwana, naye atayafanya haya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wapate kuyamiliki mabaki ya Edomu, na mataifa yote yaitwayo kwa jina langu, asema BWANA, afanyaye hayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao Waisraeli watarizi mabaki ya inchi ya Edomu na mataifa yote yaliyokuwa yangu. –Ni ujumbe wa Yawe, yule anayefanya hivyo.