Amos 9:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wajapojichimbia njia ya kwenda kuzimu, huko nitawachukua kwa mkono wangu; wajapopanda mbinguni, nitawaporomosha chini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wajapojichimbia chini hadi kwenye vina vya Kuzimu, kutoka huko mkono wangu utawatoa. Wajapopanda juu hadi kwenye mbingu, kutoka huko nitawashusha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wajapochimba waingie katika kuzimu, mkono wangu utawatoa huko; nao wajapopanda hata mbinguni, nitawatelemsha toka huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wajapojichimbia njia ya kwenda kuzimu, huko nitawachukua kwa mkono wangu; wajapopanda mbinguni, nitawaporomosha chini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wajapojichimbia chini mpaka kwenye vina vya kuzimu, kutoka huko mkono wangu utawatoa. Wajapopanda juu hadi kwenye mbingu, kutoka huko nitawashusha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wajapojichimbia chini mpaka kwenye vina vya kuzimu, kutoka huko mkono wangu utawatoa. Wajapopanda juu hadi kwenye mbingu, kutoka huko nitawashusha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wajapochimba waingie katika kuzimu, mkono wangu utawatoa huko; nao wajapopanda hata mbinguni, nitawateremsha toka huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wajapojichimbia njia ya kwenda kuzimu, huko nitawachukua kwa mkono wangu; wajapopanda mbinguni, nitawaporomosha chini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ingawa wapenyelee kuzimuni, huko nako mkono wangu utawatoa; ingawa wapande mbinguni, huko nako nitawabwaga chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wajapochimba waingie katika kuzimu, mkono wangu utawatoa huko; nao wajapopanda hata mbinguni, nitawatelemsha toka huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata wakijichimbia njia ya kwenda kuzimu, nitawakamata kule kwa mukono wangu; hata wakipanda juu mbinguni, nitawaporomosha chini.