Amos 9:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wajapojificha juu ya mlima Karmeli, huko nitawasaka na kuwachukua; wajapojificha mbali nami vilindini mwa bahari, humo nitaliamuru joka la baharini liwaume.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wajapojificha juu ya kilele cha Karmeli, huko nitawawinda na kuwakamata. Wajapojificha uso wangu katika vilindi vya bahari, huko nako nitaamuru joka kuwauma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wajapojificha katika kilele cha Karmeli, nitawatafuta na kuwatoa toka huko; na wajapositirika katika vilindi vya bahari nisiwaone, nitamwagiza joka huko, naye atawauma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wajapojificha juu ya mlima Karmeli, huko nitawasaka na kuwachukua; wajapojificha mbali nami vilindini mwa bahari, humo nitaliamuru joka la baharini liwaume.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wajapojificha juu ya kilele cha Karmeli, huko nitawawinda na kuwakamata. Wajapojificha kutoka kwenye uso wangu katika vilindi vya bahari, huko nako nitaamuru joka kuwauma.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wajapojificha juu ya kilele cha Karmeli, huko nitawawinda na kuwakamata. Wajapojificha kutoka kwenye uso wangu katika vilindi vya bahari, huko nako nitaamuru joka kuwauma.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wajapojificha katika kilele cha Karmeli, nitawatafuta na kuwatoa toka huko; na wajapositirika katika vilindi vya bahari nisiwaone, nitamwagiza joka huko, naye atawauma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wajapojificha juu ya mlima Karmeli, huko nitawasaka na kuwachukua; wajapojificha mbali nami vilindini mwa bahari, humo nitaliamuru joka la baharini liwaume.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ingawa wajifiche mlimani kwa Karmeli juu, huko nako nitawakamata na kuwachukua; ingawa wajitoweshe machoni pangu baharini chini kabisa, huko nako nitawaagizia nyoka, awaume.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wajapojificha katika kilele cha Karmeli, nitawatafuta na kuwatoa toka huko; na wajapositirika katika vilindi vya bahari nisiwaone, nitamwagiza joka huko, naye atawauma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata wakijificha juu ya mulima Karmeli, huko nitawatafuta na kuwakamata; hata wakijificha mbali nami katika vilindi vya bahari, mule nitaiamuru nyoka kubwa ya bahari iwaume.