Colossians 1:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwake yeye tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambaye kwake tunao ukombozi, yaani msamaha wa dhambi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na huyo Mwana amelipa gharama ya kutuweka huru, kwani ndani yake tuna msamaha wa dhambi zetu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
ambaye kwa njia yake tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwake yeye tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambaye katika yeye tunao ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi kwa njia ya damu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambaye katika yeye tunao ukombozi, yaani msamaha wa dhambi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwake yeye tunakombolewa, yaani dhambi zetu zinaondolewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwake yeye ndimo, tupatiamo ukombozi kwa kuondolewa makosa.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ambaye katika yeye tumekombolewa na kusamehewa zambi zetu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
amliae katika yeye tuna nkombozi kwa damu yake, masamaha ya dhambi,