Colossians 1:19 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mungu alipenda utimilifu wake wote uwe ndani yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa ilimpendeza Mungu kwamba utimilifu wake wote ukae ndani yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa katika yeye ilipendeza utimilifu wote ukae;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu alipendezwa kwamba ukamilifu wa uungu wake uishi ndani ya Mwana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana Mungu alipenda utimilifu wote uwe ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mungu alipenda utimilifu wake wote uwe ndani yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa ilimpendeza Mungu kwamba ukamilifu wake wote wa Kiungu uwe ndani yake
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa ilimpendeza Mwenyezi Mungu kwamba utimilifu wake wote ukae ndani yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa katika yeye ilipendeza utimilifu wote ukae;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mungu alipenda utimilifu wake wote uwe ndani yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ilimpendeza Mungu, yote pia yamkalie yeye,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa katika yeye ilipendeza utimilifu wote ukae;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana Mungu mwenyewe alitaka ukamilifu wake uonekane ndani ya mwana wake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa kuwa katika yeye ilipendeza utimilifu wote ukae,