Colossians 1:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nami nimefanywa kuwa mtumishi wa kanisa kufuatana na mpango wake Mungu ambao alinikabidhi kwa faida yenu. Mpango wenyewe ni kuutangaza kwa ukamilifu ujumbe wake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi nimekuwa mtumishi wa jumuiya ya waumini kwa wajibu alionipa Mungu ili kuwaletea ninyi neno la Mungu kwa ukamilifu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambalo nimefanywa mhudumu wake, sawasawa na uwakili wa Mungu, niliopewa kwa faida yenu, nilitimize neno la Mungu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nilifanyika kuwa mtumishi wa kanisa kwa sababu Mungu alinipa kazi maalum ya kufanya. Kazi hii inawasaidia ninyi, nayo ni kuuhubiri ujumbe kamili wa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nami nimefanywa kuwa mtumishi wa kanisa kufuatana na mpango wake Mungu ambao alinikabidhi kwa faida yenu. Mpango wenyewe ni kuutangaza kwa ukamilifu ujumbe wake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nami nimefanywa kuwa mtumishi wa kanisa kufuatana na mpango wake Mungu ambao alinikabidhi kwa faida yenu. Mpango wenyewe ni kuutangaza kwa ukamilifu ujumbe wake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi nimekuwa mtumishi wa Kanisa kwa wajibu alionipa Mungu ili kuwaletea ninyi Neno la Mungu kwa ukamilifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi nimekuwa mtumishi wa jumuiya ya waumini kwa wajibu alionipa Mwenyezi Mungu ili kuwaletea ninyi Neno la Mungu kwa ukamilifu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambalo nimefanywa mhudumu wake, kulingana na uwakili wa Mungu, niliopewa kwa faida yenu, nilitimize neno la Mungu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nami nimefanywa kuwa mtumishi wa kanisa kufuatana na mpango wake Mungu ambao alinikabidhi kwa faida yenu. Mpango wenyewe ni kuutangaza kwa ukamilifu ujumbe wake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndio wao, niwatumikiao nikiufuata utunzaji wa Mungu, niliopewa, niwatimilizie ninyi Neno lake Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambalo nimefanywa mhudumu wake, sawasawa na uwakili wa Mungu, niliopewa kwa faida yenu, nilitimize neno la Mungu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nimekuwa mutumishi wa kanisa kufuatana na kazi ile Mungu aliyonipa kwa ajili yenu. Kazi yenyewe ni kutangaza Neno lake kwa ukamilifu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
ambalo nimekuwa mkhudumu wake, kwa uwakili wa Mungu, niliopewa kwa faida yenu, nilitimize neno la Mungu;