Colossians 1:26 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ambao ni siri aliyowaficha binadamu wote tangu milele, lakini sasa amewajulisha watu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ni siri iliyokuwa imefichika tangu zamani na kwa vizazi vingi, lakini sasa imefunuliwa kwa watakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
siri ile iliyofichwa tangu zamani zote na tangu vizazi vyote, bali sasa imefunuliwa kwa watakatifu wake;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ujumbe huu ni ukweli wenye siri uliofichwa tangu mwanzo wa nyakati. Nao ulifichwa kutoka kwa kila mtu kwa muda mrefu, lakini sasa umedhihirishwa kwa watakatifu wa Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
ambao ni siri aliyowaficha binadamu wote tangu milele, lakini sasa amewajulisha watu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ambao ni siri aliyowaficha binadamu wote tangu milele, lakini sasa amewajulisha watu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siri hii ilikuwa imefichika kwa karne nyingi na vizazi vingi, lakini sasa imefunuliwa kwa watakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ni siri iliyokuwa imefichika tangu zamani na kwa vizazi vingi, lakini sasa imefunuliwa kwa watakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
siri ile iliyofichwa tangu zamani zote na tangu vizazi vyote, bali sasa imefunuliwa kwa watakatifu wake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ambao ni siri aliyowaficha binadamu wote tangu milele, lakini sasa amewajulisha watu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni lile fumbo lililokuwa limefichwa tangu kale, baba wasilijue. Lakini sasa watakatifu wake wamekwisha kufumbuliwa;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
siri ile iliyofichwa tangu zamani zote na tangu vizazi vyote, bali sasa imefunuliwa kwa watakatifu wake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Neno lile ndio ile siri aliyoificha tangu zamani za kale, lakini sasa ameifunua kwa watu wake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
siri ile iliyofichwa tangu zamani zote na tangu vizazi vyote, bali sasa imefunuliwa kwa watakatifu wake: