Colossians 1:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye alitupa habari za upendo wenu mliojaliwa na Roho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambaye pia ametuambia kuhusu upendo wenu katika Roho wa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye alitueleza upendo wenu katika Roho.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Naye ametueleza pia kuhusu upendo mlioupokea kutoka kwa Roho Mtakatifu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeye alitupa habari za upendo wenu mliojaliwa na Roho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye alitupa habari za upendo wenu mliojaliwa na Roho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambaye pia ametuambia kuhusu upendo wenu katika Roho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambaye pia ametuambia kuhusu upendo wenu katika Roho wa Mwenyezi Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye alitueleza upendo wenu katika Roho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye alitupa habari za upendo wenu mliojaliwa na Roho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye ndiye aliyetueleza, mnavyopendana Rohoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye alitueleza upendo wenu katika Roho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye ndiye aliyetupatia habari za upendo wenu muliojaliwa na Roho.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nae alitueleza upendo wenu katika Roho.