Colossians 2:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nanyi mmepewa uhai kamili katika kuungana naye. Yeye yuko juu ya pepo watawala wote na wakuu wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nanyi mmepewa ukamilifu ndani ya Al-Masihi, aliye mkuu juu ya kila nguvu na kila mamlaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ninyi mmetimilika katika yeye aliye kichwa cha enzi yote na mamlaka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na kwa sababu ninyi ni wa Kristo basi mmekamilika, na mna kila kitu mnachohitaji. Kristo ni mtawala juu ya kila nguvu na mamlaka zingine zote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
nanyi mmepewa uzima kamili katika kuungana naye. Yeye yuko juu ya pepo watawala wote na wakuu wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nanyi mmepewa uhai kamili katika kuungana naye. Yeye yuko juu ya pepo watawala wote na wakuu wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nanyi mmepewa ukamilifu ndani ya Kristo, ambaye yeye ndiye mkuu juu ya kila enzi na kila mamlaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nanyi mmepewa ukamilifu ndani ya Al-Masihi, ambaye ndiye mkuu juu ya kila enzi na kila mamlaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ninyi mmetimilika katika yeye aliye kichwa cha enzi yote na mamlaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nanyi mmepewa uhai kamili katika kuungana naye. Yeye yuko juu ya pepo watawala wote na wakuu wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nanyi mkiwa naye huyapata hayo yote, maana yeye ni kichwa cha kila ukuu na cha kila nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ninyi mmetimilika katika yeye aliye kichwa cha enzi yote na mamlaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kwa kuungana naye, ninyi mumepata kukamilika. Yeye ndiye anayetawala roho zote zenye mamlaka na uwezo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na ninyi mmetimilika katika yeye aliye kichwa cha enzi vote na mamlaka.