Colossians 2:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mambo ya aina hiyo ni kivuli tu cha yale yatakayokuja; ukweli wenyewe ndiye Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hizi zilikuwa kivuli cha mambo yajayo; lakini uhalisi unapatikana kwa Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Zamani mambo hayo yalikuwa kama kivuli cha yale yaliyotarajiwa kuja. Lakini mambo mapya yaliyotarajiwa kuja yanapatikana katika Kristo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mambo ya aina hiyo ni kivuli tu cha yale yatakayokuja; ukweli wenyewe ndiye Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mambo ya aina hiyo ni kivuli tu cha yale yatakayokuja; ukweli wenyewe ndiye Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hizi zilikuwa kivuli cha mambo ambayo yangekuja, lakini ile iliyo halisi imo ndani ya Kristo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hizi zilikuwa kivuli cha mambo ambayo yangekuja, lakini ile iliyo halisi imo ndani ya Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mambo ya aina hiyo ni kivuli tu cha yale yatakayokuja; ukweli wenyewe ndiye Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mambo hayo ni kivuli tu cha mambo yaliyotaka kutokea, lakini yametimia kimwili, Kristo alipokuja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mambo hayo yote ni kivuli cha mambo yatakayokuja, lakini ukweli wa mambo yote ni Kristo mwenyewe.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.