Colossians 2:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndani yake zimefichika hazina zote za hekima na elimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambaye ndani yake kumefichwa hazina zote za hekima na maarifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambaye ndani yake yeye hazina zote za hekima na maarifa zimesitirika.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yeye peke yake ndiye ambaye ndani yake watu wanaweza kupata hazina zote za hekima na ufahamu zilizofichwa katika Kristo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndani yake zimefichika hazina zote za hekima na elimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndani yake zimefichika hazina zote za hekima na elimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambaye ndani yake kumefichwa hazina zote za hekima na maarifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambaye ndani yake kumefichwa hazina zote za hekima na maarifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambaye ndani yake yeye hazina zote za hekima na maarifa zimesitirika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndani yake zimefichika hazina zote za hekima na elimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwake yeye ndimo, malimbiko yote ya werevu wa kweli na ya utambuzi yalimofichwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambaye ndani yake yeye hazina zote za hekima na maarifa zimesitirika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa maana hazina zote za hekima na elimu zimefichwa ndani yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
ambae ndani yake zimo hazina zote za hekima na maarifa, zimesetirika.