Colossians 2:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, nawaambieni, msikubali kudanganywa na mtu yeyote kwa maneno ya uongo hata kama ni ya kuvutia sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nawaambia mambo haya ili mtu yeyote asiwadanganye kwa maneno matamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nasema neno hili, mtu asije akawadanganya kwa maneno ya kuwashawishi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nawaambia hili ili asiwepo yeyote atakaye wadanganya kwa maneno na hoja zinazoonekana kuwa ni nzuri, lakini ni mbaya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, nawaambieni, msikubali kudanganywa na mtu yeyote kwa maneno ya uongo hata kama ni ya kuvutia sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, nawaambieni, msikubali kudanganywa na mtu yeyote kwa maneno ya uongo hata kama ni ya kuvutia sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nawaambia mambo haya ili mtu ye yote asiwadanganye kwa maneno ya kuwashawishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nawaambia mambo haya ili mtu yeyote asiwadanganye kwa maneno ya kuwashawishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nasema neno hili, mtu asije akawadanganya kwa maneno ya kuwashawishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, nawaambieni, msikubali kudanganywa na mtu yeyote kwa maneno ya uongo hata kama ni ya kuvutia sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navisema hivi, mtu asiwadanganye akiwaambia maneno mazuri ya kuwashinda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nasema neno hili, mtu asije akawadanganya kwa maneno ya kuwashawishi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawaambia ninyi maneno haya kusudi mutu asiwadanganye kwa maneno matamu ya kupotosha.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nasema neno hili, mtu asije akawadanganyeni kwa maneno yaliyotungwa illi kuwakosesha.