Colossians 2:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maadamu nyinyi mmemkubali Kristo Yesu aliye Bwana, basi, ishini katika muungano naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo basi, kama vile mlivyompokea Al-Masihi Isa kuwa Bwana, endeleeni kukaa ndani yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi kama mlivyompokea Kristo Yesu, Bwana, enendeni vivyo hivyo katika yeye;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mlimpokea Kristo Yesu kama Bwana, hivyo mwendelee kumfuata yeye.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maadamu ninyi mmemkubali Kristo Yesu kuwa Bwana, basi, ishini katika muungano naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maadamu nyinyi mmemkubali Kristo Yesu aliye Bwana, basi, ishini katika muungano naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo basi, kama vile mlivyompokea Kristo Yesu kuwa Bwana, endeleeni kukaa ndani yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo basi, kama vile mlivyompokea Al-Masihi Isa kuwa Bwana, endeleeni kukaa ndani yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi kama mlivyompokea Kristo Yesu, Bwana, ishini vivyo hivyo katika yeye;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maadamu nyinyi mmemkubali Kristo Yesu aliye Bwana, basi, ishini katika muungano naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, kama mlivyompokea Bwana Kristo Yesu, hivyo mwendelee kuwa wake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi kama mlivyompokea Kristo Yesu, Bwana, enendeni vivyo hivyo katika yeye;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi kwa sababu mumemukubali Kristo kuwa Bwana wenu, muishi katika kuungana naye.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi kama mlivyompokea Kristo Yesu, Bwana, enendeni vivyo hivyo katika yeye,