Colossians 3:25 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atendaye mabaya atalipwa kufuatana na ubaya wake; Mungu hana ubaguzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote atendaye mabaya atapewa adhabu ya mabaya yake, wala hakuna upendeleo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana adhulumuye atapata mapato ya udhalimu wake, wala hakuna upendeleo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kumbukeni kuwa Mungu hana upendeleo; kila afanyaye uovu ataadhibiwa kwa sababu ya uovu wake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Atendaye mabaya atalipwa kufuatana na ubaya wake; Mungu hana ubaguzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atendaye mabaya atalipwa kufuatana na ubaya wake; Mungu hana ubaguzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote atendaye mabaya atalipwa kwa ajili ya mabaya yake, wala hakuna upendeleo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote atendaye mabaya atalipwa kwa ajili ya mabaya yake, wala hakuna upendeleo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana adhulumuye atapata mapato ya udhalimu wake, wala hakuna upendeleo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atendaye mabaya atalipwa kufuatana na ubaya wake; Mungu hana ubaguzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mpotovu atayatwaa mapato yao yale, aliyoyapotoa, lakini hakuna upendeleo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana adhulumuye atapata mapato ya udhalimu wake, wala hakuna upendeleo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini yule anayefanya mabaya, atalipwa kufuatana na mabaya aliyotenda, kwa sababu Mungu hana upendeleo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana adhulumuye atapata mapato ya udhalimu wake, wala hakuna upendeleo.